Mission:
Kufanya uinjilishaji kwa njia ya nyimbo katika Misa Takatifu, kushiriki matamasha ndani na nje ya jimbo, na kupitia albamu za muziki wa Injili.
Activities & Ministries:
Huduma za uimbaji wa liturujia, uinjilishaji kupitia matamasha, kurekodi na kusambaza nyimbo za Injili.