I N A P A K I A


The Catholic Choir Apostolate of Tanzania – Archdiocese of Dar es Salaam. Ukwakata brings together passionate voices and dedicated instructors, empowering choirs to grow musically, spiritually, and as one vibrant community.


Contact Info

Postal Address
P.O Box 90060,
Dar es Salaam, Tanzania

Physical Address
S&F House, Block 30D, Plot No 21, 2nd floor, Mwinjuma Road, Kinondoni

Phone No
+255 222 762 081/0
+255 735 923 521

Email Address
info@ukwakata.or.tz




Contact info

Phone No
+255 222 762 081/0
+255 735 923 521

Email Address
info@ukwakata.or.tz

UKWAKATA JIMBO KUU DAR ES SALAAM
Mt. Vicent wa Paulo
Kwaya ya Mtakatifu Vincent wa Paulo
Ilianzishwa: 2008
Dekania: Kibaha
(Mt. Monika)
Parokia: Kibamba
(Mt. Vicent wa Paulo)
Aina ya Kwaya: Parish
Wanachama: 0
WhatsApp Image 2025-08-11 at 08.18.08
11 August 2025
WhatsApp Image 2025-08-11 at 08.18.06
11 August 2025
WhatsApp Image 2025-08-11 at 08.18.06 (1)
11 August 2025
WhatsApp Image 2025-08-11 at 08.18.08 (1)
11 August 2025
WhatsApp Image 2025-08-11 at 08.18.07 (3)
11 August 2025
WhatsApp Image 2025-08-11 at 08.18.07 (1)
11 August 2025
WhatsApp Image 2025-08-13 at 22.08.45
14 August 2025
Kwaya ya Mtakatifu Vincent wa Paulo – Kibamba ilianzishwa 20 Januari 2008 na kuanza kutoa huduma ya kuimba Jumapili ya Pasaka Aprili 2008. Kwaya ilizinduliwa rasmi tarehe 27 Septemba 2009 na Baba Alster Makubi (Paroko wa Kibaha wakati huo). Hadi sasa imefanikiwa kutoa albamu tatu, ikiwa ni pamoja na albamu ya tatu "Hoja Kuu" ambayo ipo sokoni.

Misioni:
Kufanya uinjilishaji kwa njia ya nyimbo katika Misa Takatifu, kushiriki matamasha ndani na nje ya jimbo, na kupitia albamu za muziki wa Injili.

Shughuli na Huduma:
Huduma za uimbaji wa liturujia, uinjilishaji kupitia matamasha, kurekodi na kusambaza nyimbo za Injili.

UONGOZI
Kamati Tendaji ya Kwaya

Hakuna taarifa za viongozi kwa sasa.

UANACHAMA
Wanachama wa Kwaya kwa Sauti

Hakuna taarifa za wanachama wa kwaya kwa sasa.