Kwaya Bikira Maria Mama wa Mungu ilianzishwa mwaka 2002 ikiwa kama Kwaya ya Vijana na mnamo mwaka 2003 ilisimikwa rasmi na kuitwa Kwaya Bikira Maria Mama wa Mungu(BMMM)Kwaya hii Haina mradi wowote Sana inajishughulisha na huduma za kuhudumia Kanisani kwa kuongoza Ibada za Misa Takatifu na ziara za Kidini na kushiriki Matamasha pale inapopata nafasi na ikiwa imejiandaa.