I N A P A K I A


The Catholic Choir Apostolate of Tanzania – Archdiocese of Dar es Salaam. Ukwakata brings together passionate voices and dedicated instructors, empowering choirs to grow musically, spiritually, and as one vibrant community.


Contact Info

Postal Address
P.O Box 90060,
Dar es Salaam, Tanzania

Physical Address
S&F House, Block 30D, Plot No 21, 2nd floor, Mwinjuma Road, Kinondoni

Phone No
+255 222 762 081/0
+255 735 923 521

Email Address
info@ukwakata.or.tz




Contact info

Phone No
+255 222 762 081/0
+255 735 923 521

Email Address
info@ukwakata.or.tz

UKWAKATA JIMBO KUU DAR ES SALAAM
Segerea Roho Mtakatifu
Kwaya Mtakatifu Gabriel Malaika Mkuu
Ilianzishwa: 2009
Dekania: Segerea
(Mt. Yohane Paulo wa II)
Parokia: Segerea
(Segerea Roho Mtakatifu)
Aina ya Kwaya: Parish
Wanachama: 49
Mwalimu: Ms. Grace Michael
Practice: Saturdays 4:00 PM
WhatsApp Image 2025-07-16 at 15.52.09 (4)
22 July 2025
WhatsApp Image 2025-07-16 at 15.51.50 (4)
22 July 2025
WhatsApp Image 2025-07-16 at 15.52.18 (2)
22 July 2025
WhatsApp Image 2025-07-16 at 15.51.55 (2)
22 July 2025
WhatsApp Image 2025-07-16 at 15.51.48 (4)
22 July 2025
WhatsApp Image 2025-07-16 at 15.52.09 (3)
22 July 2025
WhatsApp Image 2025-07-16 at 15.52.17 (2)
22 July 2025
WhatsApp Image 2025-07-16 at 15.51.49 (3)
22 July 2025
WhatsApp Image 2025-07-16 at 15.52.06 (3)
22 July 2025
WhatsApp Image 2025-07-16 at 15.52.02 (3)
22 July 2025

Kwaya Mtakatifu Gabriel Malaika Mkuu Parokia ya Roho Mt Segerea Jimbo kuu la Dar es Salaam.

Ilianzishwa October 2009. Ikiwa na idadi ya WAIMBAJI kumi na nne baada ya kundi Moja lililokuwa likihudumia ibada mbili kugawana Katikati na kupata kwaya mbili zitakazo badilishana kuimba katika ibada .

Kwaya hizo zikiwa makundi mawili A na B 

Kundi A.Baadae walipata jina lao baada ya kukaa pamoja na kujadiliana na kupendekeza jina ndipo walipopata jina la Mtakatifu Gabriel Malaika Mkuu (Nguvu ya Mungu)

Wanakwaya walivutiwa na jina hili baada ya ufafanuzi mzuri na maana ya Mt Gabriel Malaika Mkuu.Basi ndipo likaanza kutumika jina la Malaika Gabriel.

Kwaya hii imendelea na utume wake ndani ya Parokia,Ndani ya Jimbo Taifa na nchi za nje ikiwemo Kenya na nchi  nyinginezo.

TUMEKUWA tukishiriki Matamasha mbalimbali ya Jimbo ndani ya nchi na nje ya nchi na Matamasha yenye viwango vya Kimataifa kama Tamasha la Yesu ni Mwema (TYM) zaidi ya mara tisa mfululizo pamoja na Tamasha la Holy Trinity nchini Kenya.

TUMEKUWA tukifanya utume wetu kadiri ya litrujia na Hiarakia inavyotuelekeza na kushirikiana na Mababa zetu Kwa Kila hatua.

Misioni:
Kwaya inalenga kumtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji wa liturujia, kuwa chombo cha uinjilishaji kupitia sauti na muziki, na kueneza neno la Mungu ndani na nje ya parokia kwa kutumia vipaji vya waimbaji wake pamoja na teknolojia ya kisasa.

UONGOZI
Kamati Tendaji ya Kwaya
EM

ELIZA MDEE

Assistant Leader
UANACHAMA
Wanachama wa Kwaya kwa Sauti
Sauti ya Kwanza (Soprano) 18 Wanachama
F SARAFINA BAHARI
Member
F CECILIA BENEDICTO
Member
F FROLA CHEPSONI
Member
F ROSE JIMBO
Member
F LULU KOMBA
Member
F REGINA MASANJA
Member
F ELIZA MDEE
Assistant Leader
F DESPINA MDENDE
Member
F JACKLIN MOSES
Member
F BERNADETHA MOSHA
Member
F SEIRE MSILIKALE
Member
F EDINA MSUMALI
Member
F HILDA MTUPILI
Member
F RESTITUTA MWIKOLA
Member
F PAULINA NKWABI
Member
F VERONICA PAUL
Member
F SALVINA RAMADHAN
Member
F SALOME THOMAS
Member
Sauti ya Pili (Alto) 13 Wanachama
F GRACE CHACHA
Member
F ROSE CHIBINGA
Member
F RENALDA KISINGA
Member
F RESTITUTA LEONALD
Member
F MARTHA MAGESA
Member
F MARIA MGWAMA
Member
F JULIANA MLENDA
Member
F STELLA MOSHI
Member
F ELIZABETH MUSHI
Member
F SECILIA MWAKANYAMALE
Member
F CATHERINE PETRO
Member
F FIDEA SILIDION
Member
F HYASINTA SILUNGWE
Member
Sauti ya Tatu (Tenor) 11 Wanachama
M DENIS ELIAS
Member
M DOSCA ERNEST JOHN
Member
M JOSEPH HAULE
Member
M THADEO JIMBO
Member
M LAURENT KAMINYOGE
Member
M ELIAS MAJOLOLO
Member
M AGUSTINO MDEGELA
Member
M ALPHA NGAIRA
Member
M PASCO ONNA
Member
M FRANCIS PETRO
Member
M COLLINS ROGERS
Member
Sauti ya Nne (Bass) 10 Wanachama
M GABRIEL EDES SHIRIMA
Member
M IBRAHIM FUNGAVYEMA
Member
M SEBASTIAN KABUGA
Member
M ONESMO KISUMBI
Member
M VICENT MGAYA
Member
M ADRIAN MGWAMA
Member
M EMMANUEL MOYO
Member
M LUCAS SHIRIMA
Member
M RAYMOND STEPHANO
Member
M EXPEDITO SYLVESTER
Member
Maelezo ya Mawasiliano

Sarah Johnson
David Kimani
Simu: +255 788 123456
Barua Pepe: heavenlyvoices@example.com

Mwalimu wa Kwaya
Ms. Grace Michael
Choir Leader
Sauti / Chombo: Guitar