Kwaya ya Bikira maria Consolata (BMC) ni kwaya iliyo asisiwa mwaka 1973 katika Parokia ya Bikira Maria Consolata –Kigamboni. Kwaya hii ilipewa jina hili baada ya Kigango cha Kigamboni kilichokuwa chini ya Parokia ya Mt. Yosefu Cathedral kuwa Parokia kamili chini ya wamisionari wa shirikika la wakonsolata, na kwaya hii kuwa ya kwanza kuanzishwa na waamini wa Parokia hii.
Majukumu ya Kwaya ya Bikira Maria Consolata (BMC)-Kigamboni:
Kama ilivyojukumu la chama cha kitume ni kumtukuza Mungu na Kutakatikuza Malimwengu. Kwaya BMC –Kigamboni, kama inavyofahamika, inautimiza wajibu huu kwa kufanya yafuatayo:
Kwaya ya BMC-Kigamboni inafanya majukumu yake yote kwa kuzingatia Katiba ya Utume wa Kwaya Katoliki Tanzania(UKWAKATA)
Kwaya ya BMC ina Jumla ya wanakwaya 86 walio katika mchanganyiko wa jinsia, rika na utofauti wa kimakabila.
Sambamba na Jukumu la Uinjilishaji kwa njia ya nyimbo, kwaya hii pia inatoa huduma za stationary yenye mjumuisho wa huduma zote za ofisi, Shule na vyuo. Shughuli zote hizi zinafanyikia katika majengo ya Parokia ya Bikirqa maria Consolata –Kigamboni.
Mission:
To instill Christian values and musical appreciation in children through choral singing.
17107 Kigamboni
P.O.Box 36033 Dar es salaam
Phone: +255 763542024
Email: bmckigamboni@gmail.com