I N A P A K I A


The Catholic Choir Apostolate of Tanzania – Archdiocese of Dar es Salaam. Ukwakata brings together passionate voices and dedicated instructors, empowering choirs to grow musically, spiritually, and as one vibrant community.


Contact Info

Postal Address
P.O Box 90060,
Dar es Salaam, Tanzania

Physical Address
S&F House, Block 30D, Plot No 21, 2nd floor, Mwinjuma Road, Kinondoni

Phone No
+255 222 762 081/0
+255 735 923 521

Email Address
info@ukwakata.or.tz




Contact info

Phone No
+255 222 762 081/0
+255 735 923 521

Email Address
info@ukwakata.or.tz

UKWAKATA JIMBO KUU DAR ES SALAAM
Bikira Maria Consolata
Kwaya ya Bikira Maria Consolata (BMC)
Ilianzishwa: 1973
Dekania: Kigamboni
(Mt. Fransisco wa Asizi)
Parokia: Kigamboni
(Bikira Maria Consolata)
Aina ya Kwaya: Parish
Wanachama: 5
Mwalimu: Sr. Beatrice Njelu
Practice: Saturdays 3:00 PM
DSCF6603.00_00_07_22.Still003
22 July 2025
DSCF6603.00_05_52_17.Still010
22 July 2025
Vibrant Voices: A Passionate Performance
30 June 2025
Our choir members, adorned in striking blue attire, express their passion through song and movement. This dynamic shot highlights the energy and emotion they bring to every performance, engaging audiences with their vibrant spirit.
DSCF6620.00_00_48_00.Still002
22 July 2025
DSCF6620.00_00_48_00.Still002
22 July 2025
DSCF6603.00_01_17_13.Still006
22 July 2025

Kwaya ya Bikira maria Consolata (BMC) ni kwaya iliyo asisiwa mwaka 1973 katika Parokia ya Bikira Maria Consolata –Kigamboni. Kwaya hii ilipewa jina hili baada ya Kigango cha Kigamboni kilichokuwa chini ya Parokia ya Mt. Yosefu Cathedral kuwa Parokia kamili chini ya wamisionari wa shirikika la wakonsolata, na kwaya hii kuwa ya kwanza kuanzishwa na waamini wa Parokia hii.

Majukumu ya Kwaya ya Bikira Maria Consolata (BMC)-Kigamboni:

Kama ilivyojukumu la chama cha kitume ni kumtukuza Mungu na Kutakatikuza Malimwengu. Kwaya BMC –Kigamboni, kama inavyofahamika, inautimiza wajibu huu kwa kufanya yafuatayo:

  1. Kufanya maandalizi ya litrujia na kuhudumu kwa kuimba katika dominika na sikukuu zilizo amuliwa katika Parokia yetu.
  2. Kufanya uinjilishaji katika Jumuiya na Parokia za jirani kadiri ya nafasi
  3. Kufanya uinjilishaji wa kimtandao (Digital evangelization)
  4. Kurekodi na kuhifadhi muziki Mtakatifu
  5. Kulea na kukuza vipaji katika muziki Mtakatifu

Kwaya ya BMC-Kigamboni inafanya majukumu yake yote kwa kuzingatia Katiba ya Utume wa Kwaya Katoliki Tanzania(UKWAKATA)

Kwaya ya BMC ina Jumla ya wanakwaya 86 walio katika mchanganyiko wa jinsia, rika na utofauti wa kimakabila.

Sambamba na Jukumu la Uinjilishaji kwa njia ya nyimbo, kwaya hii pia inatoa huduma za stationary yenye mjumuisho wa huduma zote za ofisi, Shule na vyuo. Shughuli zote hizi zinafanyikia katika majengo ya Parokia ya Bikirqa maria Consolata –Kigamboni.

Misioni:
To instill Christian values and musical appreciation in children through choral singing.

UONGOZI
Kamati Tendaji ya Kwaya
JK

JOHN KANYORO

Katibu
EK

EDWARD KWEYUNGA

Mweka Hazina
EK

ESTHER KIHONGOLA

Assistant Secretary
R

REHEMA KIVAMBA

Chair Person
DM

DEOGRATIUS MWIJAGE

Choir Leader
UANACHAMA
Wanachama wa Kwaya kwa Sauti

Hakuna taarifa za wanachama wa kwaya kwa sasa.

Maelezo ya Mawasiliano

17107 Kigamboni P.O.Box 36033 Dar es salaam
Simu: +255 763542024
Barua Pepe: bmckigamboni@gmail.com

Mwalimu wa Kwaya
Sr. Beatrice Njelu
Choir Leader
Sauti / Chombo: Piano